Trump aitaka Iran kuingia makubaliano ya nyuklia, akionya kuhusu mashambulizi ya kikatili zaidi

  Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka Iran kufanya makubaliano kuhusu mpango wake wa nyuklia, akisema aliipa Tehran nafasi baada ya mazungumzo kati ya Marekani na Iran kuhusu makubaliano yalikuwa yanakaribia kuingia awamu ya sita Jumapili. "Niliwaambia, kwa maneno makali, "fanyeni tu," ingawa walijaribu sana, haijalishi walikuwa karibu vipi, hawakuweza kufanikiwa," Trump anaandika kwenye mtandao wa kijamii wa Truth. "Iran lazima ifanye makubaliano na kuokoa kile ambacho hapo awali kilijulikana kama Dola ya Iran. Hakuna kifo tena, hakuna uharibifu tena, FANYA TU, KABLA HAMJACHELEWA." Hapo awali Trump alisema anafahamu mipango ya Israel kabla ya kuanza mashambulizi usiku kucha, lakini aliweka wazi kuwa wanajeshi wa Marekani hawakushiriki katika operesheni hiyo.

https://mabumbe.com/jobs/branch-manager-at-uba-bank-february-2021/

Comments

BIGBOSS said…
Jina lako kiongozi
Robert joseph said…
Kiukweli linabuludisha sana
Unknown said…
Kiukweli hili kundi nimelipenda sana linaburudisha sana
Unknown said…
Tupate kushikamana na kujengana kifikra chanya ili kujenga uchumi wetu
BIGBOSS said…
Karibu Sana kiongozi
BIGBOSS said…
Karibu Sana mkuu
BIGBOSS said…
Tumekupata kiongozi
BIGBOSS said…
Umoja wetu nguvu yetu
Emmnauel george said…
Niungeni kwa group la whatsapp number 0757154190
Emmnauel george said…
Niungeni kwa group la whatsapp number 0757154190
Emmnauel george said…
Niungeni kwa group la whatsapp number 0757154190
Razack abeid said…
Niungekwenye group LA WhatsApp 0688979914
Safely Ngonya said…
0768448123
Nafurahia sana Huu umoja
Safely Ngonya said…
0768448123
Nafurahia sana Huu umoja
Unknown said…
Raymond Symphorian
Unknown said…
Napataje kitambulxho??
G said…
naombeni kuunganishwa na kundi nipate na kitambulisho 0678278060 whatsapp
BIGBOSS said…
Kupitia link 🔗
Jamani link sijazipata lakini niungeni kwenye group la WhatsApp 0652920492
Hats la telegram nitumie link yake
Na la fb
Lkn muhimu naotaji la WhatsApp

UWABATA TV

UWABATA TANGAZO

INSIGNIA LIMITED COMPANY

Kwanini ulaji wa nyama za watu katika nchi za Ulaya ulitumika kama tiba ya hali ya juu?

GRUMETI FUND TRUST,

Total Tanzania Careers 2021, Total Tanzania Jobs 2021

TECHNICIAN II (ELECTRICAL)