Tundu Lissu afikishwa Mahakamani asomewa shitaka la uhaini

Image
  Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini tanzania, Chadema, Tundu Lissu jioni hii amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, na kusomewa shitaka moja la uhaini. Tundu anayetetewa kwa sasa na Mawakili sita ambao ni Dk. Rugemeleza Nshalla, Dickson Matata, Jebra Kambole, Michael Lugina, Hekima Mwasipu, na Gaston Garubindi, alisomewa shitaka hilo la Wakili Nassoro Katuga Awali Jeshi la Polisi nchini Tanzania lilisema lilimkamata Lissu jana mkoani Ruvuma kwa tuhuma za kufanya uchochezi wa kutofanyika Uchaguzi Mkuu 2025. Aidha Polisi nchini humo kupitia taarifa yake ilitoa onyo kwa vyama vyote vya siasa kutotoa maneno ya uchochezi, kashfa kwa Polisi na Serikali au viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu. Mapema Polisi walipiga mabomu ya machozi na kuwatawanya wafuasi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema huku wakizua viongozi wa chama hicho kufanya mkutano na waandishi wa habari. Vyombo vy...

Karibuni chamani hii ni blog kwajili ya matangazo ya uwabata na taarifa fupi na ndefu zitakuwa huku

Comments

Johanes said…
Yaani Mimi nakufa humuhumu
BIGBOSS said…
Kwa kadi tumia hii link kujaza form
Link ni : uwabata.cf
BIGBOSS said…
Karibu Sana mkuu
LEGUSC said…
Tuko pamoja kk @Paul Daniel
BIGBOSS said…
Karibu kiongozi
NYERERE JASSON said…
Jamani kwema
Naomba kuungwa kwa hiki chama
Kwenye magroup ya whats app na facebook
Nitashukuru sana
Namba yangu ni +255684208922
NYERERE JASSON said…
Tafadhali naomba muni add kwa wasap +255684208922
Unknown said…
Hi iko poa nani kiongozi
Muhilu said…
Naomba uniunge WhatsApp 0754537246

UWABATA TV

UWABATA TANGAZO

Kwanini ulaji wa nyama za watu katika nchi za Ulaya ulitumika kama tiba ya hali ya juu?

INSIGNIA LIMITED COMPANY

GRUMETI FUND TRUST,

Total Tanzania Careers 2021, Total Tanzania Jobs 2021

TECHNICIAN II (ELECTRICAL)