Posts

Showing posts from August, 2021

Mpalestina aliyeshinda tuzo ya Grammy ashambuliwa na walowezi wa Israel na kukamatwa na jeshi

Image
 Mshindi wa tuzo ya Oscar ya Palestina ameshambuliwa na walowezi wa Israel, wanaharakati walioshuhudia tukio hilo wanasema, kabla ya kukamatwa na jeshi la Israel. Hamdan Ballal, mmoja wa wakurugenzi wenza wanne wa shirika la ‘No Other Land{hakuna Ardhi Nyingine} , alikuwa na nyumba yake katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa na Israel ikiwa imezingirwa na walowezi wakati wa shambulio la Jumatatu, Kituo cha Kundi la Waasi wa Kiyahudi (CJNV) kilisema. Mkurugenzi mwenza Yuval Abraham alisema Bw Ballal alipigwa na walowezi kisha kuchukuliwa na wanajeshi akiwa kwenye gari la wagonjwa. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema hakuna Mpalestina aliyezuiliwa kutoka kwa gari la wagonjwa. Bila kumtaja Bw Ballal, IDF ilisema Wapalestina watatu na Muisraeli wamezuiliwa kwa tuhuma za "kurusha mawe" kwa vikosi vya usalama. Mwanaharakati ambaye alikuwa katika eneo la tukio aliambia BBC kuwa Wapalestina watatu waliozuiliwa, akiwemo Bw Ballal, walijeruhiwa katika shambulio la walowezi na sasa ...

Kwanini ulaji wa nyama za watu katika nchi za Ulaya ulitumika kama tiba ya hali ya juu?

  Ulaya wa nyama za watu katika bara la Ulaya kati ya karne za 14 na 16 ulijulikana kama tiba ya hali ya juu ya maradhi ya kifafa na kupata uungwaji mkono wa hali ya juu kutoka kwa mamlaka za Ulaya. Matumizi ya "maiti kama dawa " katika kipindi hocho hujulikana kama, The renaissance yanaweza kugawanywa katika makundi mawili. Tiba iliyokuwa maarufu ilikuwa ikifahamika kama ile ya "mummy", ambapo mgonjwa alilishwa nyama ya binadamu iliyokaushwa, mara kwa mara ikisasafishwa , sawa na kupakwa dawa sawa na maiti za Wamisri. Lakini baadhi ya madaktari walitumia dawa za kukausha maiti sawa na zile zinazotumiwa nyakati hizi. Hizi ni pamoja na mafuta ya nyama na damu, pamoja na nyama za misuli, zilizotibiwa kwa uangalifu kabla ya kutumiwa. Mamlaka kadhaa zilidai kuwa vyanzo bora vya dawa hiyo ya nyama ya binadamu " vilikuwa ni nyama nyekundu za maiti za wanaume …zisizokuwa na kasoro yoyote…za vijana wenye umri wa karibu miaka 24, asiye na kasoro yoyote " na ambaye ...

Credit Administration and Key Accounts Associate - Tanzania Branches

  Tanzania Branches Job Description: Credit Collections Lead (Tanzania) You are responsible for the execution of Sokowatch’s Financial Services strategy in Tanzania relating to credit collections and recovery. You are the owner of the Sokowatch Financial Services collections targets assigned to you including working capital financing, asset financing and other credit products to come. You are charged with actively collecting past due credit through various channels including but not limited to SMS, telephone calls, customer visits and working with local administration and external debt collection agencies. Our Vision Dominate the small shops market across Africa by being their #1 partner for all goods and services by 2021. Sokowatch aims to be the platform through which our customers access a comprehensive offering of financial services that allow them to achieve both their personal and professional goals. Your Mission in our Vision Financial services will be the biggest differenti...

Job Opportunity at Abt Associates, Monitoring, Evaluation, and Learning Director - Tanzania RMNCAH

   Job Description Under the supervision of the Chief of Party (COP), the MEL Director is responsible for designing the project’s monitoring, evaluation, and learning agenda and creating systems to measure and document program process, output and impact data results by routinely and systematically collecting, analyzing and presenting program data for project staff, partners and donors. The MEL Director is responsible for tracking progress towards goals and fidelity to implementation design as well as recommending appropriate subjects for operations research. Responsibilities Leads collaborative learning and adaptation activities including enabling reflection on ‘what is working’ and ‘what is not?’ Develops a monitoring processes with quick feedback loops that generate iterative learning to adjust activities in real-time and track progress in achieving objectives. Guide team efforts to use activity-generated data, context data, and research to inform evidence-based program desi...

Total Tanzania Careers 2021, Total Tanzania Jobs 2021

  JOB TITLE:  FLEET AND TRAINING SUPERVISOR LOCATION: DAR ES SALAAM-MAFUTA RD(TZA) Job Description HSEQ Ensure deployment of the PATROM rules and Branch standards and local regulations. Enforce HSEQ rules and procedures concerning transport activity. Quality Control of products to be within Tanzania quality specifications as per TBS. Participate in accident/incident analyses with the HSEQ Manager. Implement the corrective and preventive actions defined following accidents and incidents (in Tanzania or in the group) Put in place controls to prevent fraud during product transport Assist transporters on the implementation of a safety management system for transporter FLEET SUPERVISION Participate in internal/external transport audits and manage the follow-up action plan. (SMS, SMT, ICT…) Implement a follow up for the transportation action plan Implement and follow up operations and vehicle inspections (Roadworthiness, Vetting, safe to load) Implement and follow up transportation ...