Posts

Israel na Hezbollah wakaribia kupigana, wote wakataa kurudi nyuma

Image
  CHANZO CHA PICHA, AFP Maelezo ya picha, Wanajeshi wa Israel 23 Juni 2024 Vita kamili kati ya Israel na Hezbollah vitasababisha "janga", Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema. Lakini kwa David Kamari, ambaye anaishi chini ya moto unaokaribia kila siku upande wa mpaka wa Israel, vita hivyo vitakuwa suluhu. Mwezi uliopita, roketi ya Hezbollah iliyorushwa kutoka Lebanon ilitua kwenye bustani yake katika mji wa mpakani wa Kiryat Shmona, na kupasua nyumba yake katika maeneo kadhaa na kuijaza na vifusi. Anaonyesha mashimo ambayo vipande vya misumari vilipita kwenye kuta, vikimkosa kwa inchi chache. Na kisha kwenye vilima vilivyo juu yetu, ambapo eneo linalodhibitiwa na Hezbollah linaanzia. "Kila siku, kila usiku: mabomu. [Ni] tatizo," alisema. "Na mimi nilizaliwa hapa. Ikiwa unaishi hapa usiku mmoja, utakuwa na wazimu." David bado anaishi katika nyumba yake iliyojaa vifusi, vipande vya misumari vilivyonaswa na mabaki ya televisheni yake. Nje ni masalio meusi

Heads of Sales Operation

  Position:  Heads of Sales Operation Location:  Dar es Salaam, Tanzania job Description : About us Diageo is the world’s leading premium drinks company with an outstanding collection of brands, such as Johnnie Walker, Smirnoff, Baileys, Captain Morgan, Tanqueray, and Guinness. Our purpose – Celebrating life, every day, everywhere – has an important role in our company, for our people, our diversity, our brands, in how we perform, and how we create shared value. Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer and spirits). It is a subsidiary of East Africa Breweries Limited (EABL), the largest business unit in Diageo Africa and the second-largest listed company on the NSE in Kenya. SBL operates exclusively in Tanzania and is the second-largest beer company with a market share of around 20%. SBL flagship brand is Serengeti Premium Lager. Other brands in the portfolio include Tusker Lager, Guinness, Kibo Gold, Pilsner

ORODHA YA MAJINA YA MAOMBI YA KAZI YA MUDA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 YALIYOHAKIKIWA NA KUJIBIWA KIKAMILIFU

 ORODHA YA MAJINA YA MAOMBI YA KAZI YA MUDA YA SENSA  DOWNLOAD PDF FILE KUANGALIA JINA LAKO  HAPA CHINI CLICK ME

NAFASI YA KAZI YA MUDA KWENYE ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI TANZANIA

 UTANGULIZI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iko kwenye maandalizi ya kufanya Sensa ya Watu na Makazi ambayo itafanyika tarehe 23 Agosti 2022. Ili kufanikisha Sensa hii, Serikali inatangaza nafasi za kazi za muda za MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA kwa Watanzania wenye nia na sifa zinazostahili kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.  1. KARANI WA SENSA a) Kazi za Kufanya Mwombaji wa nafasi hii, endapo atachaguliwa atatakiwa kuhudhuria mafunzo ya makarani ambapo baada ya mafunzo ikiwa atafaulu atatakiwa kurejea katika eneo alilotokea au kupangiwa eneo lingine lolote kwa ajili ya kutekeleza kazi zifuatazo :- i) Kutambua mipaka ya eneo la kuhesabia watu kwa kulinganisha na ramani ya eneo la kuhesabia watu na maelezo ya mipaka yaliyopo kwenye ramani hiyo ; ii) Kushirikiana na msimamizi na uongozi wa eneo husika kutambua kama katika eneo la kuhesabia watu kuna makundi maalaum yanayotakiwa kuhesabiwa kwa utaratibu maalum tofauti na kaya za kawaida ; iii) Kuhoji dodoso la jamii k

CUSTOMS ASSISTANT II TRA

  POST CATEGORY ACCOUNTING AND AUDITING HR & ADMINISTRATION LEGAL TAXATION AND SOCIAL PROTECTION EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To examine goods; ii.To enter the Data into the Customs System; iii.To maintain field records in the Customs system; iv.To release goods when physical verification conforms; v.To keep records and maintain documents; vi.To check transit documents and shipping orders for bond cancellations; and vii.To perform any other duties assigned by the supervisor. QUALIFICATION AND EXPERIENCE Diploma in one of the following fields; Taxation, Customs, Accountancy, Business Administration, Law or equivalent qualifications from a recognized Institution.   REMUNERATION TRAS 3 APPLY

TECHNICIAN II (ELECTRICAL)

1.   ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER :  Tanzania Forest Services (TFS)   DUTIES AND RESPONSIBILITIES To repair and carry out preventive maintenance of electrical equipment and electrical installation systems; To carry out Electrical Installation works as per design; To perform periodic electrical testing to electrical equipment; To attend site meetings and site inspection; andTo perform any other related duties as may be assigned by immediate supervisor. QUALIFICATION AND EXPERIENCE Holder of Diploma (NTA level 6) or Full Technician Certificate (FTC) in the following field; Electrical, Civil or equivalent qualifications from a recognized institution. The candidate shall be required to attend and pass military recruit course. CLICK THE LINK TO APPLY

Geita Gold Mining Limited (GGML)

  About Us Overview : Geita Gold Mining Ltd (GGML)  is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The mine is situated in the Lake Victoria Gold fields of North Western Tanzania, only about 85 km’s from Mwanza City and 20 km’s South East of the nearest point of Lake Victoria. The company has its head office in Geita, only 5 Km’s west of the fast-growing town of Geita, and also a supporting office in Dar es Salaam. New JOBS and INTERNSHIPS Vacancies at Geita Gold Mining Ltd (GGML) - Various Posts Applications are invited from ambitious, energetic and performance driven individuals to fill in vacant position(s) mentioned hereunder...GGML DO NOT have any agents and DO NOT charge any fees to the interested candidates. Kindly note that only shortlisted applicants will be contacted. Recom
 https://youtu.be/o0rjJK7AGlA

New Job Opportunity at Coca Cola Kwanza Limited - Preventive Maintenance Planner

  Preventive Maintenance Planner - CDE Details Reference Number  CCB220120-2 Job Title  Preventive Maintenance Planner - CDE Job Category  Logistics Company  Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type  Permanent Location - Country  Tanzania Location - Province  Not Applicable Location - Town / City  Dar es Salaam Recommended: PAST PAPERS ZA DARASA LA 7 MPAKA FORM SIX | NECTA AND MOCK EXAMS 1988 - 2019. CLICK HERE! Job Description Coca-Cola Kwanza has an exciting opportunity in our Manufacturing department. We are looking for talented individual with relevant skills and experience for a Plant Maintenance Planner Coolers role, which is based in Dar-es-Salaam. The successful candidate will report directly to the Fleet & CDE Manager. The Preventive Maintenance Planner – CDE prepares preventive and corrective maintenance plans and schedules in accordance with the CDE Maintenance Strategy, minimizing response time to maintenance and repair calls, maximizing equipment availability, and planning

Hofu Yatanda Walipo Mastaa Hawa!

Image
  MIONGONI mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba chini ya Kampuni ya Mtitu First Game Quality.   Sintofahamu hiyo imesababisha hofu kutanda miongoni mwa mashabiki juu ya ni wapi walipo baadhi ya mastaa wao ambao waling’ara mno, lakini sasa hawajulikani walipo huku wengine wakidaiwa hali zao ni mbaya kimaisha. Hata hivyo, kama ilivyo desturi ya Gazeti la IJUMAA kudili na mastaa ndani na nje ya Bongo linakuletea ripoti nzito ya nani yupo wapi na anafanya nini?   MIKALLA Ni kweli Mikalla alikuwa ni mwigizaji mkali kuanzia kipaji hadi uzuri ambapo wengi waliomshuhudia katikati ya miaka ya 2010 walikiri kwamba atakuja kuwa staa mkubwa wa Bongo Movies, lakini mambo yakawa kinyume. Mbali na Filamu ya The Lost Twins, Mikalla alifanya vizuri mno kwenye Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu chini ya Kamp

Nafasi ya Kazi katika EFTA Ltd, Ofisi ya Juu ya Usimamizi wa Miradi

  Senior Project Management Officer EFTA Ltd   Dar es Salaam, Tanzania About the job ABOUT US: EFTA is an institution dedicated to small enterprises and producer groups that have outgrown microfinance but are unable to access bank finance due to prohibitive collateral requirements. The business model is based on a highly standardized financial lease product to finance equipment and machinery. The equipment provides a collateral substitute which allows EFTA to lend without collateral making this highly accessible and expanding access to finance considerably. EFTA uses a branch-based model, serving and maintaining relationships with the customer. The product is tailored to this market, with a three-year (maximum) repayment term and with the ability to modify the repayment schedule where strong businesses face temporary income shocks Job Description: Reports to: Administrative to Managing Director and Functionally EFTA Board chairma Working Location: EFTA HQ (Dar es Salaam) Duration This