Posts

Israel na Hezbollah wakaribia kupigana, wote wakataa kurudi nyuma

Image
  CHANZO CHA PICHA, AFP Maelezo ya picha, Wanajeshi wa Israel 23 Juni 2024 Vita kamili kati ya Israel na Hezbollah vitasababisha "janga", Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema. Lakini kwa David Kamari, ambaye anaishi chini ya moto unaokaribia kila siku upande wa mpaka wa Israel, vita hivyo vitakuwa suluhu. Mwezi uliopita, roketi ya Hezbollah iliyorushwa kutoka Lebanon ilitua kwenye bustani yake katika mji wa mpakani wa Kiryat Shmona, na kupasua nyumba yake katika maeneo kadhaa na kuijaza na vifusi. Anaonyesha mashimo ambayo vipande vya misumari vilipita kwenye kuta, vikimkosa kwa inchi chache. Na kisha kwenye vilima vilivyo juu yetu, ambapo eneo linalodhibitiwa na Hezbollah linaanzia. "Kila siku, kila usiku: mabomu. [Ni] tatizo," alisema. "Na mimi nilizaliwa hapa. Ikiwa unaishi hapa usiku mmoja, utakuwa na wazimu." David bado anaishi katika nyumba yake iliyojaa vifusi, vipande vya misumari vilivyonaswa na mabaki ya televisheni yake. Nje ni masalio meusi

TECHNICIAN II (ELECTRICAL)

1.   ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER :  Tanzania Forest Services (TFS)   DUTIES AND RESPONSIBILITIES To repair and carry out preventive maintenance of electrical equipment and electrical installation systems; To carry out Electrical Installation works as per design; To perform periodic electrical testing to electrical equipment; To attend site meetings and site inspection; andTo perform any other related duties as may be assigned by immediate supervisor. QUALIFICATION AND EXPERIENCE Holder of Diploma (NTA level 6) or Full Technician Certificate (FTC) in the following field; Electrical, Civil or equivalent qualifications from a recognized institution. The candidate shall be required to attend and pass military recruit course. CLICK THE LINK TO APPLY

Geita Gold Mining Limited (GGML)

  About Us Overview : Geita Gold Mining Ltd (GGML)  is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The mine is situated in the Lake Victoria Gold fields of North Western Tanzania, only about 85 km’s from Mwanza City and 20 km’s South East of the nearest point of Lake Victoria. The company has its head office in Geita, only 5 Km’s west of the fast-growing town of Geita, and also a supporting office in Dar es Salaam. New JOBS and INTERNSHIPS Vacancies at Geita Gold Mining Ltd (GGML) - Various Posts Applications are invited from ambitious, energetic and performance driven individuals to fill in vacant position(s) mentioned hereunder...GGML DO NOT have any agents and DO NOT charge any fees to the interested candidates. Kindly note that only shortlisted applicants will be contacted. Recom
 https://youtu.be/o0rjJK7AGlA

New Job Opportunity at Coca Cola Kwanza Limited - Preventive Maintenance Planner

  Preventive Maintenance Planner - CDE Details Reference Number  CCB220120-2 Job Title  Preventive Maintenance Planner - CDE Job Category  Logistics Company  Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type  Permanent Location - Country  Tanzania Location - Province  Not Applicable Location - Town / City  Dar es Salaam Recommended: PAST PAPERS ZA DARASA LA 7 MPAKA FORM SIX | NECTA AND MOCK EXAMS 1988 - 2019. CLICK HERE! Job Description Coca-Cola Kwanza has an exciting opportunity in our Manufacturing department. We are looking for talented individual with relevant skills and experience for a Plant Maintenance Planner Coolers role, which is based in Dar-es-Salaam. The successful candidate will report directly to the Fleet & CDE Manager. The Preventive Maintenance Planner – CDE prepares preventive and corrective maintenance plans and schedules in accordance with the CDE Maintenance Strategy, minimizing response time to maintenance and repair calls, maximizing equipment availability, and planning

Hofu Yatanda Walipo Mastaa Hawa!

Image
  MIONGONI mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba chini ya Kampuni ya Mtitu First Game Quality.   Sintofahamu hiyo imesababisha hofu kutanda miongoni mwa mashabiki juu ya ni wapi walipo baadhi ya mastaa wao ambao waling’ara mno, lakini sasa hawajulikani walipo huku wengine wakidaiwa hali zao ni mbaya kimaisha. Hata hivyo, kama ilivyo desturi ya Gazeti la IJUMAA kudili na mastaa ndani na nje ya Bongo linakuletea ripoti nzito ya nani yupo wapi na anafanya nini?   MIKALLA Ni kweli Mikalla alikuwa ni mwigizaji mkali kuanzia kipaji hadi uzuri ambapo wengi waliomshuhudia katikati ya miaka ya 2010 walikiri kwamba atakuja kuwa staa mkubwa wa Bongo Movies, lakini mambo yakawa kinyume. Mbali na Filamu ya The Lost Twins, Mikalla alifanya vizuri mno kwenye Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu chini ya Kamp

Nafasi ya Kazi katika EFTA Ltd, Ofisi ya Juu ya Usimamizi wa Miradi

  Senior Project Management Officer EFTA Ltd   Dar es Salaam, Tanzania About the job ABOUT US: EFTA is an institution dedicated to small enterprises and producer groups that have outgrown microfinance but are unable to access bank finance due to prohibitive collateral requirements. The business model is based on a highly standardized financial lease product to finance equipment and machinery. The equipment provides a collateral substitute which allows EFTA to lend without collateral making this highly accessible and expanding access to finance considerably. EFTA uses a branch-based model, serving and maintaining relationships with the customer. The product is tailored to this market, with a three-year (maximum) repayment term and with the ability to modify the repayment schedule where strong businesses face temporary income shocks Job Description: Reports to: Administrative to Managing Director and Functionally EFTA Board chairma Working Location: EFTA HQ (Dar es Salaam) Duration This

5 Easy Tips on How to Disable USB Port in Windows 10

Image
  By UWABATA  Dated: December  15, 2021 Spread the love How often have you experienced, A USB port blocked at school, college or in your workplace because the administrator has disabled USB drive detection for security purpose. Or you may be experienced any of these conditions, Not allowed to inject a pen drive at the local Internet Cyber Cafe, Being a victim of data theft because someone connected an unauthorized USB to your computer, Computer getting infected by virus or malware from USB Drive I believe, many a times. Enabling/Disabling computer USB Port is done either to follow security rules or just to prevent malicious activity from taking place. Let’s look at how to disable USB Port in Windows 10. There are 5 ways an Administrator or a Computer Owner can prevent the use of USB Drives. Use the Device Manger To Disable USB Ports By Uninstalling USB Mass Storage Drivers Block USB Port in Windows 10 through Registry Block USB Port in Windows 10 through Group Policy Use USB Drive Disa