Posts

Showing posts from January, 2022

Trump aitaka Iran kuingia makubaliano ya nyuklia, akionya kuhusu mashambulizi ya kikatili zaidi

  Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka Iran kufanya makubaliano kuhusu mpango wake wa nyuklia, akisema aliipa Tehran nafasi baada ya mazungumzo kati ya Marekani na Iran kuhusu makubaliano yalikuwa yanakaribia kuingia awamu ya sita Jumapili. "Niliwaambia, kwa maneno makali, "fanyeni tu," ingawa walijaribu sana, haijalishi walikuwa karibu vipi, hawakuweza kufanikiwa," Trump anaandika kwenye mtandao wa kijamii wa Truth. "Iran lazima ifanye makubaliano na kuokoa kile ambacho hapo awali kilijulikana kama Dola ya Iran. Hakuna kifo tena, hakuna uharibifu tena, FANYA TU, KABLA HAMJACHELEWA." Hapo awali Trump alisema anafahamu mipango ya Israel kabla ya kuanza mashambulizi usiku kucha, lakini aliweka wazi kuwa wanajeshi wa Marekani hawakushiriki katika operesheni hiyo.

New Job Opportunity at Coca Cola Kwanza Limited - Preventive Maintenance Planner

  Preventive Maintenance Planner - CDE Details Reference Number  CCB220120-2 Job Title  Preventive Maintenance Planner - CDE Job Category  Logistics Company  Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type  Permanent Location - Country  Tanzania Location - Province  Not Applicable Location - Town / City  Dar es Salaam Recommended: PAST PAPERS ZA DARASA LA 7 MPAKA FORM SIX | NECTA AND MOCK EXAMS 1988 - 2019. CLICK HERE! Job Description Coca-Cola Kwanza has an exciting opportunity in our Manufacturing department. We are looking for talented individual with relevant skills and experience for a Plant Maintenance Planner Coolers role, which is based in Dar-es-Salaam. The successful candidate will report directly to the Fleet & CDE Manager. The Preventive Maintenance Planner – CDE prepares preventive and corrective maintenance plans and schedules in accordance with the CDE Maintenance Strategy, minimizing response time to maintenance and repair calls, max...

Hofu Yatanda Walipo Mastaa Hawa!

Image
  MIONGONI mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba chini ya Kampuni ya Mtitu First Game Quality.   Sintofahamu hiyo imesababisha hofu kutanda miongoni mwa mashabiki juu ya ni wapi walipo baadhi ya mastaa wao ambao waling’ara mno, lakini sasa hawajulikani walipo huku wengine wakidaiwa hali zao ni mbaya kimaisha. Hata hivyo, kama ilivyo desturi ya Gazeti la IJUMAA kudili na mastaa ndani na nje ya Bongo linakuletea ripoti nzito ya nani yupo wapi na anafanya nini?   MIKALLA Ni kweli Mikalla alikuwa ni mwigizaji mkali kuanzia kipaji hadi uzuri ambapo wengi waliomshuhudia katikati ya miaka ya 2010 walikiri kwamba atakuja kuwa staa mkubwa wa Bongo Movies, lakini mambo yakawa kinyume. Mbali na Filamu ya The Lost Twins, Mikalla alifanya vizuri mno kwenye Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu...